KARIBU FLEVAZONE KWA HABARI ZA MUZIKI NA WANAMUZIKI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA FLAVA ZA UKWELI ZINADONDOSHWA HAPA SI PAKUKOSA!!

Feb 17, 2012

DUDUBAYA KUIHAMA DAR ES SALAAM MOJA KWA MOJA!

Hii nafasi nimeitoa kwa mshkaji mwenye umri wa miaka 32, mshkaji ambae jina lake la kisanii ni miongoni mwa mwajina yaliyoingia kwenye kitabu cha kumbukumbu cha wakali wa bongo fleva waliowahi kuzishikilia kwa muda mrefu chat za bongo fleva kutokana na hits walizotengeneza.
Ni DUDUBAYA anaeishi area 88.4 Dar es salaam, ambae leo ametangaza rasmi kupitia millardayo.com kwamba anajipanga kuihama Dar es Salaam na kwenda kuishi kwao kiseza Mwanza moja kwa moja ndani ya miaka mitatu ijayo, kwa sababu mbili kubwa.
Ya kwanza ni joto ambalo limezidi na ya pili ni foleni ambayo huwa inachukua saa kadhaa kufika anakokwenda. Dudubaya ambae alianza maisha ya kujitegemea Dar es salaam miaka saba iliyopita amesema kwa sasa anakaribia kumalizia nyumba yake anayoijenga huko nyumbani kwao Mwanza ambayo imechukua zaidi ya milioni kumi mpaka sasa.
amesema “zamani Dar haikua na foleni kubwa hivi, tulikua tunapanda daladala tuna machungu ya kununua gari ili kukwepa foleni na kero za daladala lakini sasa hivi mwenye daladala na mwenye gari wote mko sawa, mnapanga foleni” Sasa hivi Dudubaya ana kampuni inajihusisha na kuuza madirisha na milango ya mbao, pamoja na kampuni ya kuandaa show za wasanii kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania, anacheza movie za kibongo pia.
Chanzo: 
bongoflavortz blog.

NEW TRACK: Bonta ft. Farida - MATUSI.

Msanii Bonta ambaye kwa sasa anapenda aitwe MAARIFA aka Bonta ametoa wimbo wake mpya unaitwa MATUSI na hii ni project yake mpya kabisa imetoka leo akiwa amemshirikisha msanii wa kike anayekwenda na jina la Farida na imetengenezwa na Producer Q the Don. Wimbo huu pia unapatikana kwenye album ya Weusi

NEW TRACK: MACHIZ FLAN - SINA KITU.


Feb 16, 2012

Wakisela Ft. Becka-title & Blood Gaza-Wanaona Wivu

Kiri Record | C9 Kanjenje
Apex Videos | Directed by Pablo

BENSON-GET DOWN (Official Video)

NEW TRACK: Young Sidzzle Ft. Nyemo --Hustle Zangu

Frost toka TGP na Moplus Way Back


HipHop Mc Frost toka kundi la TGP from Arachuga amemshirikisha Moplus katika pini jipya kabisa linalokwenda kwa jina "Way Back"...Hii ni solo project ambayo inafungua mwaka kwa Frost kudrop hapo baadae na Album yake itakayotoka karibuni...

NEW TRACK: Linex ft Diomond - Nitaificha wapi


NEW TRACK: Suma Lee - Atoke Nje

Feb 14, 2012

UtandaRhymes: Story Of Human Race

If we believe scriptures are words of God, then the so called Willie Lynch letter: The Making of A Slave are the words of the devil, and Willie was his prophet.
The comparisons between these two worlds may seem incomprehensible, apart from their distance, both physically and historically. It’s the amount of cruelty exerted then and today that draws in their similarities, and also their two contrasting realities.

Nonini’s song “Color kwa Face” refocuses our attention back to the Albino Killings that continue to happen in East Africa, whereas AZ’s song, “Runaway Slave”, talks about the ordeals that Black people faced, during slavery. What makes these two stories uniquely similar is the cruelty of lynching. Slaves were hanged from trees, while Albino’s bodies are mutilated for their body parts.  The state-of-mind of the people, who carry out such gruesome acts of violence towards albinos, is no different from that of the Ku Klux Klan lynch mobs back then

BEYONCE NA JAY Z WAONYESHA PICHA ZA MTOTO WAO

Beyonce

NEW TRACK: Blad Key - JIPANGE


Blad Key msanii aliyetamba na wimbo wake wa Vinapanda Bei, akaja akasikika na wimbo wa Mlegezo na hivi sasa amekuja na wimbo wake mwingine mpya kabisa unaojulikana kwa jina la JIPANGE.

ITS OFFICIALLY BROKEN-HEART DANCE by SOLO ThANG ft NIAMH CHAMBERS

After releasing "I AM TRAVELLAH vol 1" On Jan 2012, on ITUNES***,,SOLO THANG aka TRAVELLAH is NOW working on his New Project,Vol 2,,with this song BROKEN HEART ft NIAMH CHAMBERS as a THIRD single after ALL I NEED & NOT OVER,,Video By HML STUDIO,directed & edited by HERMILIO OPEL,,Beat by Digitalbeatz,,recordes @Roof records by TONNY!

KILIMANJARO AWARDS YAZUNGUMZA KUHUSU WALIOJITOA KWENYE TUZO HIZO!

Baada ya wasanii kadhaa kutangaza kwamba hawataki kushirikisha kwenye Tuzo za KILI, mmoja kati ya waandaaji wakubwa wa tuzo hizo akiwa amefanya hivyo kwa miaka mitatu mfululizo Ras Inno Nganywagwa ameamplfy kwa upana.
Inno amesema “kwanza kwa mtu anaejitoa kabla ya mechi ni kwamba anaogopa mechi, mara nyingi hawa wasanii wanaelewa kalenda ya Tuzo iko vipi kwa hiyo wanatakiwa kusema kabla, hizo ndio taratibu za kujitoa kwa sababu wamesajiliwa baraza la sanaa la Tanzania”
Akiamplfy zaidi, Inno amesema “lakini pia unajitoa kwa sababu zipi? manake kwa mwaka wa tatu sasa hivi tuzo zimejaribu kuleta mabadiliko fulani, kweli miaka ya nyuma kulikua na kasoro nyingi kwenye tuzo lakini kadri siku zinavyozidi kusonga mabadiliko yanakuepo”
Katika sentensi nyingine Inno amesema ” kuna wengine wanatamka kwamba wamejitoa wakati hata hawakuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo za mwaka huu hata kwenye mchakato wa kuwatafuta washiriki wa mwaka huu hawakujadiliwa, huwezi kujitoa kwenye nyumba ambayo hauko ndani yake”
millardayo.com ilipomuuliza Inno kuhusu Dully Sykes ambae yuko kwenye nomination lakini ametangaza hataki kushirikishwa, Inno ameamplfy kwamba “itategemea na itakavyotokea kwa sababu ukisema umejitoa unapunguza nafasi ya kura za mashabiki, nini kitatokea kama mashabiki wakikupa ushindi na kura zao, utakuja kuchukua Tuzo? kwa sababu tuzo unapewa, pesa pia unapewa tofauti na tuzo nyingine za ulaya ambazo huwa fedha hazitolewi, sisi pia tunatoa nafasi ya TOUR ya kuzunguka nchi nzima kwa washindi wote wa tuzo”
Kwa kumalizia, Inno amesema wasanii wengi wa Tanzania wamekua wakikosa nafasi hata za kuwepo kwenye nomination kwa sababu category ni chache tofauti natuzo nyingine kubwa za Ulaya na Marekani ambazo huwa zinakua na Category nyingi kama Grammy yenye 73 tofauti na KTMA ambayo ina category 22 tu.
Wiki moja iliyopita, mwimbaji Dully Sykes na Jaffarai wametangaza hadharani kwamba HAWATAKI kushirikishwa vyovyote kwenye tuzo hizo.

Feb 11, 2012

MPYA ZILIZOTUFIKIA HAPA FLAVAZONE

NEW TRACK: SAJNA - MBALAMWEZI



NEW TRACK: O-TEN FT MAJOR P & MR.BLUE - YA LEO



NEW TRACK: Jitta Man - Mama Kaubana



NEW TRACK: Dudu Baya - Poko Poko.



NEW TRACK: Bibi Cheka ft Mh Temba - Ni wewe.

CREDIT TO DJ CHOKA